kuhusu blogu hii
Karibu katika blogu yangu, blogu ambayo nia yake ni kutoa mawazo yangu binafsi katika tasinia ya ujenzi na usanifu wa ujenzi. Mengi yaliyomo ndani ya blogu hii ni mawazo binafsi yakiwa yana ambatana na tafiti zangu binafsi kuhusu ujenzi. Nia yangu ni kujaribu kushiriki pamoja nawe fikra zangu huru kuhusu ujenzi na zaidi ya yote kukupa mwanga zaidi katika masuala ya ujenzi kwenye mambo ambayo naamini yakifanyiwa kazi yatabadilisha maisha yetu kwa sehemu kubwa hasa katika masula ya ujenzi.
nitafurahia kuona ushiriki wako wa moja kwa moja katika blogu hii.
wasiliana nami kupitia whatsApp kwa 0657324306 facebook Arch Samson Magiri au Twitter @sma
karibu tena ndugu musomaji
Comments
Post a Comment