Posts

Faida ya (OPEN FLOOR PLAN) katika ujenzi wa nyumba za leo

Image
Picha na  https://www.homebuilding.co.uk Open floor plan ni aina ya ramani ya nyumba ambao ulenga kuunganisha matumizi ya maeneo kadhaa ndani ya Nyumba na kuyafanya yatumike kwa pamoja ndani ya chumba kimoja, kwa mfano kuwa na jiko ambalo limeungana na sehemu ya chakula ( dinning area)  na pengine sehemu ya kupumzikia ( Sebule). Aina hii ya ujenzi wa nyumba za kuishi imeshika kasi mwanzoni mwa mika ya 90 na kwa sehemu fulani hapa nyumbani tanzania Imevutia walio wengi miaka ya hivi karibuni. ni dhairi kuwa nia ya aina hii ya ujenzi ni kupunguza kuta zisizo na maana ndani ya nyumba lakini pia kutengeneza madhali fulani ya tofauti ndani ya nyumba husika. zifuatazo ni baadhi ya faidi ya open plan  Faida ya OPEN Floor PLAN. URAHISI WA MIZUNGUKO NDANI YA NYUMBA .   Hii ni kutokana na kuwa na eneo moja ndani ya nyumba lenye kazi tofauti totauti hiyo kupunguza milango, korido, na kuta zisizo na maana ndani ya Nyumba hivyo kurah...

Mambo kumi ya kuzingatia kabla haujaanza ujenzi.

Image
Mara kadhaa tumejikuta tuko njia panda mara tu baada ya kuanza ujenzi wa nyumba za ndoto zetu p. Sababu zipo nyingi sana kwanini hali inakuwa ndivyo sivyo hasa pale tunapokuwa tuna hamu kweli ya kuanza kuishi kwenye nyumba zetu au kumiliki nyumba. yafuatayo ni mambo kumi ya kuzingatia wakati tunafikiria kuanza ujenzi. Hakikisha kiwanja chako kimepimwa na kina hati kwa wale tunaoishi mijini na kwa wale wa vijijini hakikisha una hati ya kijiji ya eneo unalotaka kujenga sababu kubwa ni kuwa na uhakika wa umiliki wa eneo unalojenga kwa usalama wa uwekezaji wako lakini pia mbali na maeneo mengi yanayo pimwa na kukubalika kuwa salama kwa ujenzi yana kuwa chini ya sheria zote za mipango miji na mazingira hiyo itakusaidia kukuweka salama kisheria lakini pia na majanga mbali mbali ya kimazingira. Tafuta ushauri wa kutosha kutoka kwa watu walio kutangulia kujenga na ambao kwa sehemu fulani nyumba zao zimekuvutia  hiyo inaenda sambamba na kuonana na mtaalam wa usanifu ujenzi aliye ka...